Blog

Lipo mtaa wa Baraa Kufika kwenye ghorofa unapita Barabara ya Moshono.Umbali kutoka Arusha mjini ni Kilometer 4 Lina basement
Groundfloor Lina vyumba 10 Ikiwa na President suites 2(chumba cha kulala raisi) Na private suite 1 Gorofa 2 Ukubwa sqm 6343 Lina Hatimiliki Lina Gym room,Theatre, Lounges 6,Receptions,Restaurant 2,self contained rooms,Laundry rooms,spacious kitchens 2, open sky roof,control room 2,Prayer room,study room,office na Helipad (sehemu ya kupaki helicopter)

Bei ya makadirio ni 1.2 bilion

Sidebar